Category: UDAKU

Sasa Aibuka Chiburapa, Afanana Kilaki na Diamond Platnumz..:;

MWEZI Januari mwaka huu katika mitandao ya kijamii aliibuka msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) aitwaye Harmonize kiasi mashabiki  walimbatiza jina la ‘Pacha wa Harmonize’ au Harmorapa.  Mwanzoni mwa wiki hii ameibuka msanii mwingine anayefanana na Diamond Platnumz naye kupewa jina la Chibu Rapa. Katika … Continue reading Sasa Aibuka Chiburapa, Afanana Kilaki na Diamond Platnumz..:;

Advertisements