Tag: BIASHARA

Mfanyabiashara Jack Pemba Afanya Birthday ya Kufuru…:;

           Mfanyabiashara maarufu nchini aliyehamishia makazi yake nchini Uganda, Pedeshee Jack Pemba, jana alifanya birthday ya kufuru nchini Uganda, huku mwanamuziki mahiri kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Koffi Olomide akiwa ndiye mgeni rasmi. Vipande vya video zilizosambaa mtandaoni, vinamuonesha Koffi akipafomu live wimbo wa Ekotite (Selfie) akiwa na bendi … Continue reading Mfanyabiashara Jack Pemba Afanya Birthday ya Kufuru…:;

Benki ya BARCLAYS Yaanzisha Shindano kwa Wanachuo..:;

        Benki ya BARCLAYS imezindua mpango wa kupata wajasiriamali wenye michanganuo bora ya biashara kutoka vyuo vikuu nchini unajulikana kama University Enterpreneurship challenge ambao watapelekwa ujerumani kushindanishwa Mratibu wa mpango huo VICTOR MNYAWAMI amesema wanachuo hao watatuma maombi yao kwa mtandao ambapo baada ya mchujo washindi wataingia katika mashindano mengine nchini UJERUMANI … Continue reading Benki ya BARCLAYS Yaanzisha Shindano kwa Wanachuo..:;