Tag: ENTERTAIMENT

Hizi Hapa Sababu Sita Nzito za Waziri Mwakyembe Kushindwa Kuwapatanisha Diamond Platnumz na Ali Kiba..!!!

                           BAADA ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison George Mwakyembe kutamka hadharani kuwa na mipango ya kuwapatanisha wakali wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, sababu sita zitakazomfanya waziri huyo kugonga … Continue reading Hizi Hapa Sababu Sita Nzito za Waziri Mwakyembe Kushindwa Kuwapatanisha Diamond Platnumz na Ali Kiba..!!!

Advertisements

Harmorapa Aamua Kumganda Mzungu wa Kampuni ya Swala Escape One..:;

         MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii Bongo, Athuman Omary ‘Hamorapa’, jana jumamosi katika viwanja vya Escape One Kinondoni Jijini Dar es Salaam, alionekana kumganda mzungu wa kampuni ya kinywaji cha Swala baada ya kusambaa kwa taarifa za kupewa dili nono na kampuni inayozalisha kinywaji cha Swala. Kupitia mtandao wake … Continue reading Harmorapa Aamua Kumganda Mzungu wa Kampuni ya Swala Escape One..:;

Mwanamuziki MADONNA Aamua Kuongeza Idadi ya Watoto Aliyowaasili..:;

            Mwanamuziki maarufu duniani kwa miondoko ya POP MADONNA ameogeza idadi ya watoto wa kuwasili baada ya kuchukua mapacha wawili wa kike kutoka nchini MALAWI nakufikisha idadi ya watoto wanne. MADONA amefikia uamuzi huo ikiwa ni moja ya mikakati yake ya kuwaasili baadhi ya watoto kutoka kusini mwa jangwa la … Continue reading Mwanamuziki MADONNA Aamua Kuongeza Idadi ya Watoto Aliyowaasili..:;