Tag: HABARI

RC Paul Makonda ” Ruge Inabidi Aombe Msamaha Kwa Kuwatapeli Watanzania Kuwa Nilivamia Clouds TV”..:;

               Baadhi ya Maneno Aliyokaririwa akisema Paul Makonda katika mahojiano yake na Star TV Leo... 'Ruge Anapaswa awaombe msamaha Watanzania kwa kuwatapeli kuwa Nilivamia Kituo chake' 'Tukio linaloitwa uvamizi kwangu ni igizo la Uvamizi' 'Clouds nilikuwaga naeda kula ugali na Maharage' 'Gwajima anajiita Askofu lakini sio Askofu kamili' 'Nimeuona … Continue reading RC Paul Makonda ” Ruge Inabidi Aombe Msamaha Kwa Kuwatapeli Watanzania Kuwa Nilivamia Clouds TV”..:;

Huu Ndio Utapeli wa “Prophet Bushiri” Ambaye Anamtishia Lowassa Kuwa Atakufa

       Nilisikiliza Madai ya Askofu Gwajima Dhidi ya Tapeli mmoja aitwaye Prophet Bushiri. Jinsi ambavyo anatumiwa Kutabiri ati Lowassa atakufa. Wasichojua watu wengi Ni kuwa Wengi wa wanaoitwa Watumishi wa Mungu, Kiasi kikubwa ni Mbwa mwitu Matapeli wa Kutisha. Nitaweka Mambo Kadhaa ya Kitapeli anayofanya Bushiri. Mojawapo ni Kujifanya alitabiri kuhusu Tetemeko, hawa … Continue reading Huu Ndio Utapeli wa “Prophet Bushiri” Ambaye Anamtishia Lowassa Kuwa Atakufa

Mwanamume Atamia Mayai ya Kuku Huko Ufaransa..:;

            Msanii kutoka Ufaransa Abraham Poincheval anaendelea kutamia mayai ya kuku akiwa na matumaini kwamba mwishowe yataangua vifaranga. Msanii huyo anatumia joto kutoka kwa mwili wake kutamia mayao hayo 10. Poincheval ambaye hufanya uigizaji wa kuigiza mambo ya ucheshi lakini ya hatari tayari ameishi wiki mbili ndani ya dubu, miongoni … Continue reading Mwanamume Atamia Mayai ya Kuku Huko Ufaransa..:;