Tag: MCHANGANYIKO

RC Paul Makonda ” Ruge Inabidi Aombe Msamaha Kwa Kuwatapeli Watanzania Kuwa Nilivamia Clouds TV”..:;

               Baadhi ya Maneno Aliyokaririwa akisema Paul Makonda katika mahojiano yake na Star TV Leo... 'Ruge Anapaswa awaombe msamaha Watanzania kwa kuwatapeli kuwa Nilivamia Kituo chake' 'Tukio linaloitwa uvamizi kwangu ni igizo la Uvamizi' 'Clouds nilikuwaga naeda kula ugali na Maharage' 'Gwajima anajiita Askofu lakini sio Askofu kamili' 'Nimeuona … Continue reading RC Paul Makonda ” Ruge Inabidi Aombe Msamaha Kwa Kuwatapeli Watanzania Kuwa Nilivamia Clouds TV”..:;

Advertisements

Mwanamke Akata Uume wa Kiongozi wa Dini Huko India..:;

            Mwanamke mmoja wa umri wa miaka 23 nchini India amekata uume ya wa kiongozi mmoja wa dini kwenye jimbo lililo kusini mwa nchi la Kerala, akidai kuwa alimbaka kwa miaka kadha. Polisi wanasema kuwa kiongozi huyo wa dini kwa jina Gangeshananda Theerthapada, alikuwa akienda kwenye nyumba ya mwanamke huyo … Continue reading Mwanamke Akata Uume wa Kiongozi wa Dini Huko India..:;

Mambo Yamekuwa Mambo.., Waziri Aaagiza Bungeni Shoga Maarufu Mitandaoni Akamatwe..:;

            Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye mitandao ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile. … Continue reading Mambo Yamekuwa Mambo.., Waziri Aaagiza Bungeni Shoga Maarufu Mitandaoni Akamatwe..:;

Watu Kadhaa Wafariki Wakisubiri Mwisho wa Dunia..:;

         Waumini watano wanaotambulika chini ya mwamvuli wa imani ya Voodoo nchini Benin wamefariki dunia baada ya kuamuliwa kukaa kwenye chumba maalumu na kufanya maombi wakisubiri mwisho wa dunia. Waumini hao waliamulia kukaa kwenye chumba kilichozibwa sehemu zote kama sehemu ya kudhihirisha imani yao. Vifo hivyo vilisababishwa na msongamano pamoja na ukosefu … Continue reading Watu Kadhaa Wafariki Wakisubiri Mwisho wa Dunia..:;