Tag: MICHEZO

Mayweather na McGregor nusura wazichape kavukavu .:;

        Rais wa UFC, Dana White (katikati) akijaribu kuwatenganisha Floyd Mayweather (kushoto) na Conor McGregor wasipigane 'kavu kavu' usiku wa jana ukumbi wa LA's Staples Center mjini Los Angeles, Marekani     MPIGANAJI Conor McGregor ametamba kummaliza katika raundi ya nne bingwa wa dunia wa ngumi za kulipwa ambaye hajawahi kupoteza pambano, Floyd … Continue reading Mayweather na McGregor nusura wazichape kavukavu .:;

Advertisements

Wachezaji wa Everton watua Dar es Salaam Tanzania tayari kukabili Gor Mahia.:;

      Wachezaji wa klabu ya Everton kutoka England wamewasili jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ziara yao ya kwanza kabisa Afrika Mashariki. Wachezaji hao na wakufunzi pamoja na maafisa wengine wa timu walifika uwanja wa ndege saa mbili asubuhi kutoka Liverpool. Ziara yao ni sehemu ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi … Continue reading Wachezaji wa Everton watua Dar es Salaam Tanzania tayari kukabili Gor Mahia.:;

Arsene Wenger: Utata Kunihusu Umeigharimu Arsenal Nafasi UEFA..:;

            Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema utata kuhusu hatima yake katika klabu hiyo huenda ulichangia kushindwa kwa klabu hiyo kumaliza katika nafsi nne za kwanza katika Ligi Kuu ya England. Hata hivyo, amesema hakuna anayeweza kutilia shaka kujitolea kwake kufanya kazi yake katka klabu hiyo. Imekuwa ni mara ya … Continue reading Arsene Wenger: Utata Kunihusu Umeigharimu Arsenal Nafasi UEFA..:;

Bondia Anayefuata Nyayo za Floyd Mayweather Kutetea Taji la Uingereza..:;

         Bondia anayefuata nyayo za aliyekuwa bingwa katika uzani wa Middleweight duniani Floyd Mayweather, Gervonta Davis' atakuwa ulingoni kuzichapa na Muingereza Liam Walsh - mmoja ya mabondia watatu kutoka mji wa Norfolk . Bondia huyo atakuwa wa kwanza tangu Gervonta Davis kushinda taji lake la IBF huku mechi hiyo ikitarajiwa kuchezwa katika … Continue reading Bondia Anayefuata Nyayo za Floyd Mayweather Kutetea Taji la Uingereza..:;