Tag: SCIENCE AND TECHNOLOGY

Imefichukaa sasa.. Hivi Ndivyo Mitandao ya Whatspp na Instagram Inavyoaua Watu Wengi Bila Kujijua…!!!!

                Wanasayansi wamethibitisha kuwa mitandao ya kijamii ndicho chanzo cha magonjwa mbalimbali yakiwamo ya akili na kulemaa kwa mishipa ya shingo. Wanasayansi wanaeleza kuwa mitandao ya kijamii kama vile facebook, twitter, whatsApp na instagram, ujumbe wa simu na michezo ya kwenye intaneti husababisha magonjwa ya akili, uraibu na … Continue reading Imefichukaa sasa.. Hivi Ndivyo Mitandao ya Whatspp na Instagram Inavyoaua Watu Wengi Bila Kujijua…!!!!

Advertisements

Mwanamume Atamia Mayai ya Kuku Huko Ufaransa..:;

            Msanii kutoka Ufaransa Abraham Poincheval anaendelea kutamia mayai ya kuku akiwa na matumaini kwamba mwishowe yataangua vifaranga. Msanii huyo anatumia joto kutoka kwa mwili wake kutamia mayao hayo 10. Poincheval ambaye hufanya uigizaji wa kuigiza mambo ya ucheshi lakini ya hatari tayari ameishi wiki mbili ndani ya dubu, miongoni … Continue reading Mwanamume Atamia Mayai ya Kuku Huko Ufaransa..:;

Kampuni ya Blackberry Yaishtaki Kampuni ya Nokia kwa Wizi wa Teknolojia..:;

          Kampuni ya simu ya Blackberry inaishtaki Nokia kuhusu madai kwamba kampuni hiyo ya Finland imetumia uvumbuzi wake bila ruhusa. Madai hayo ya ukiukaji yanahusisha teknolojia inayotumika katika 4G pamoja na mitandao mingine ya simu. Kampuni hiyo ya Canada inadai kwamba transmita za Nokia pamoja na programu nyengime zinatumia teknolojia yake. … Continue reading Kampuni ya Blackberry Yaishtaki Kampuni ya Nokia kwa Wizi wa Teknolojia..:;

Facebook Opens the Registration for its F8 Developer Conference..:;

       Don’t we all love developer conferences. Facebook just opened the (virtual) doors of its annual F8 event on April 18-19. You’ll need to apply before February 21. And if you get selected, tickets cost $595. Facebook already announced that the company would switch things up a bit with F8 in 2017. When … Continue reading Facebook Opens the Registration for its F8 Developer Conference..:;