Tag: SIASA

Vanessa Mdee Apata Baraka Kutoka kwa Mchungaji Gwajima.:;

           #FreeVanessaMdee haijaishia kutrend kwenye midomo ya mashabiki na wasanii pamoja na kwenye mitandao ya kijamii peke yake, weekend hii. Vee Money ameonekana kuwa special katika mastaa wote waliohusishwa na skendo ya madawa ya kulevya baada ya umma kuonesha kumtetea kwa nguvu zote. Muimbaji huyo pia amepata baraka toka kwa Mchungaji … Continue reading Vanessa Mdee Apata Baraka Kutoka kwa Mchungaji Gwajima.:;

Advertisements

RC Makonda Arudi Bongo kimya Kimya,Leo Aonekana Kurasini Akizindua Barabara..!!!!

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda amezindua barabara ya Shimo la Udongo, Kilwa EPZ iliyopo kurasini ya Kilomita moja; Iliyojengwa kwa kiwango cha zege na kampuni ya wazalendo ya Grant Tech iliyogharimu takribani milioni 350. COMMENT AND SHARE............................!!!!!!!!!!!! via Blogger http://ift.tt/2mEbcVH

Mzazi Atakayemruhusu Mwanaye Kushiriki Kamari Kushtakiwa..;;

               Mtu yeyote atakaye ruhusu mtoto chini ya miaka 18 kushiriki, kuingia au kukaa karibu na eneo la mchezo wa kubahatisha (kamari) anahesabiwa kufanya kosa. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji ameyasema hayo leo Bungeni, Mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mbunge Viti Maalum Asha Abdullah … Continue reading Mzazi Atakayemruhusu Mwanaye Kushiriki Kamari Kushtakiwa..;;