Tag: STORY

Njia Rahisi Za Kuchukua Namba Kutoka Kwa Mwanamke Unayemjua ni Hizi..:;

             Kuchukua namba kutoka kwa mwanamke ni rahisi zaidi kuliko hata kutamka jina lako. Unachohitajika ni kuenda moja kwa moja kwa mwanamke unayetaka kumuomba namba halafu unamwagiza akupatie. Mara nyingi mwanamke hawezi kukataa kukupatia namba yake unless uwe umemuapproach kwa njia isiyofaa ama hakujui.             … Continue reading Njia Rahisi Za Kuchukua Namba Kutoka Kwa Mwanamke Unayemjua ni Hizi..:;

Je! Kwanin Wanawake Waliosoma Sheria (Law) Ndio Wanaoongoza Kuwa ‘Single Mothers’ Tanzania..:;

          Habarini Wadau, Hilo nililoliandika nimelifanyia utafiti wa kina. Tofauti na mabinti/wanawake waliosoma courses zingine…waliosoma Law wengi hawajaolewa ila wanamegwa tu kisela na wengi wao wana mtoto au watoto ila hawana waume. Sababu kubwa ni hizi: ◆ Hakuna Mwanaume anayetaka kuletewa vifungu vya sheria kwenye nyumba yake na ujinga ujinga wa … Continue reading Je! Kwanin Wanawake Waliosoma Sheria (Law) Ndio Wanaoongoza Kuwa ‘Single Mothers’ Tanzania..:;