Tag: TAARIFA MUHIMU

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA VYETI VYA WAHITIMU WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KATIKA PROGRAMU ZA AFYA, MIFUGO NA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 SASA;

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge, Sura 129, ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi nchini. NACTE ina wajibu wa kutunuku vyeti kwa wahitimu wenye sifa stahiki kwa mafunzo ya programu za Afya, Mifugo na Ualimu yanayozingatia umahiri. Tarehe 14 Julai 2017 … Continue reading TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA VYETI VYA WAHITIMU WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KATIKA PROGRAMU ZA AFYA, MIFUGO NA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 SASA;

Advertisements

HESLB Yavuka Lengo, yakusanya Kiasi cha Shilingi Bilioni 116.:;

         Zoezi la utafutaji, ufuatiliaji na ukaguzi wa wadaiwa sugu na ambao wamenufaika na mikopo ya elimu ya juu mahala pa kazi iliyoendeshwa na Bodi ya Mikopo ya Mikopo ya Elimu ya Juu katika kipindi cha mwaka mmoja, limefanikiwa kwa asilimia 46 na kupelekea makusanyo ya mikopo hiyo kuvuka lengo lililokusudiwa. Akiongea … Continue reading HESLB Yavuka Lengo, yakusanya Kiasi cha Shilingi Bilioni 116.:;

Wanafunzi Walio Chaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Mwaka 2017 – Zanzibar Unguja..:;

        WANAFUNZI WATAKAOENDELEA NA MASOMO YA KIDATO CHA TANO BIASHARA NA SANAA FARAJAHAMAMNIJANG'OMBE KIPONDAMWANAKWEREKWEZANZIBAR COMMERCIAL WANAFUNZI WALIOTEULIWA KUTOKA SKULI ZA BINAFSI FARAJAHAMAMNIJANG'OMBE KIPONDAMWANAKWEREKWEZANZIBAR COMMERCIAL WANAFUNZI WATAKAOENDELEA NA MASOMO YA KIDATO CHA TANO SAYANSI BEN BELLAHAILE SELASSIEKIEMBESAMAKI LUMUMBAMPENDAETUMEKUJA SUZA WANAFUNZI WALIOTEULIWA KUTOKA SKULI ZA BINAFSI BEN BELLAHAILE SELASSIEKIEMBESAMAKI LUMUMBAMPENDAETUMEKUJA   via Blogger http://ift.tt/2qKVPLp

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WAOMBAJI WA UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA AWAMU YA MACHI/APRILI KUWA, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

          TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA WAOMBAJI WA UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA AWAMU YA MACHI/APRILI, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi liliratibu zoezi la udahili kwa waombaji wa kozi za Astashahada (Cheti) na Stashahada (Diploma) kuanzia tarehe 23 … Continue reading TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WAOMBAJI WA UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA AWAMU YA MACHI/APRILI KUWA, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017