Tag: VIDEO

VIDEO: Ali Kiba(King Kiba) Ametoa Video ya Wimbo Remix ya Aje… Itazame Hapa..:;

                Msanii Alikiba baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Aje”, ameachia rasmi Video mpya ya wimbo wa “Aje Remix”, akiwa amemshirikisha msanii M.I kutoka Nigeria. Tazama hapa chini alafu toa komenti yako.                         COMMENT AND SHARE..............................!!!!!!!!!!! … Continue reading VIDEO: Ali Kiba(King Kiba) Ametoa Video ya Wimbo Remix ya Aje… Itazame Hapa..:;

Advertisements

VIDEO: Nikki Mbishi Arusha Dongo kwa Nikki wa Pili, Msikilize Hapa..:;

                                                                 Msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi amemchana Nikki wa Pili na kumuambia kwamba aache kujiita msemaji wa wasanii kwa kuwa yeye ni msemaji wa … Continue reading VIDEO: Nikki Mbishi Arusha Dongo kwa Nikki wa Pili, Msikilize Hapa..:;

VIDEO: Pamoja na Kuwa na Bifu la Chini kwa Chini,Zari Afunguka Haya Kuhusu Wema Kuhudhuria 40 ya Prince Nillan..!!!

             Leo February 9 kupitia kipindi cha LEO TENA kinachorushwa na CloudsFM Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari walikuwa Mubashara kuzungumzia arobaini ya Mtoto wao Prince Nillan pamoja na hayo wameongelea mengine pia. Zaidi tazama Video Hapo Chini..>>>>           COMMENT AND SHARE......................!!!!!!!!!!!!!! via Blogger http://ift.tt/2k7HEjK

VIDEO: Wema Sepetu Aeleza Sababu Zilizomfanya Yeye Kufuta Picha Zote Instagram..:;

Kwenye Exlusive, Wema Sepetu aelezea kwanini alifuta picha zote Instagram na headlines za habari za mastaa zikasema ni sababu ya matusi kumuandama. Wema Sepetu kwamba ukurasa wake wa mtandao huo wa kijamii ulikua umechafuka sana yani hakukua na kiwango kwenye page yangu, mtu angetoka nje ya nchi alafu atake kuona Wema anafafanaje asingejua, Pia unaweza … Continue reading VIDEO: Wema Sepetu Aeleza Sababu Zilizomfanya Yeye Kufuta Picha Zote Instagram..:;