VIDEO: Wema Sepetu Aeleza Sababu Zilizomfanya Yeye Kufuta Picha Zote Instagram..:;

Tokeo la picha la wema sepetu

Kwenye Exlusive, Wema Sepetu aelezea kwanini alifuta picha zote Instagram na headlines za habari za mastaa zikasema ni sababu ya matusi kumuandama.
Wema Sepetu kwamba ukurasa
wake wa mtandao huo wa kijamii ulikua umechafuka sana yani hakukua na
kiwango kwenye page yangu, mtu angetoka nje ya nchi alafu atake kuona
Wema anafafanaje asingejua,

Pia unaweza kumtazama Wema akiongea kwenye hii video hapa chini..>>>

   

COMMENT AND SHARE………………….!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kSc21f

Leave a comment